SCHOOL PRAYER

O Lord Almighty, help me

To trust and obey my elders

To have the will to excel through

Hard work

To love knowledge

That acts for the glory of all

And to be the best of what I am

In God’s name I pray

AMEN

SALA YA SHULE

Ee Mungu Mwenyezi

Uniwezeshe kuwasikiliza na

Kuwatii wakubwa wangu

Kuupenda ujuzi utakaowatukuza wote na

Kuniwezesha kutenda kadiri ya uwezo wangu

Katika jina la Mungu

Naomba na kuamini

AMINA